2013-10-24 15:29:46

Jitwikeni misalaba yenu, mkamfuate Kristo!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kuwa Mkristo maana yake ni kujikana mwenyewe, kuchukua Msalaba na kuubeba pamoja na Kristo. Hii ndiyo njia pekee ambayo mwamini anapaswa kuifuata na wala hakuna njia ya mkato!







All the contents on this site are copyrighted ©.