2013-10-21 14:24:00

Msikilizeni Kristo kwa makini!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii anawaambia waamini kwamba, ikiwa kama wanataka kumfahamu Kristo wanapaswa kwanza kabisa kujenga uhusiano wa karibu kwa: kumsikiliza kwa makini katika hali ya ukimya mbele ya Tabernakulo pamoja na kupokea Sakramenti mbali mbali za Kanisa.







All the contents on this site are copyrighted ©.