2013-10-21 09:03:03

Kristo apewe kipaumbele cha kwanza!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, kumfuasa Kristo kuna maanisha kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Yesu sanjari na kuondokana na mambo yote yanayousonga moyo wa mwanadamu!







All the contents on this site are copyrighted ©.