Jengeni uhusiano endelevu na Mungu kwa njia ya sala!
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii anasema, sala
za waamini haziwezi kufungwa katika kipindi cha saa moja, siku ya jumapili; ni muhimu
kujenga na kudumisha uhusiano na Mungu kila siku.