2013-10-14 11:35:29

Papa aweka wakfu dunia kwa Moyo Mtakatifu sana wa Maria


Jumapili, katika kuhitimisha Ibada ya Misa kwa ajili ya maadhimisho ya Siku Kuu ya Mama Yetu wa Fatima, katika uwanja wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, Papa akiwa mbele ya sanamu ya Mama Yetu wa Fatima, alitolea heshima na sala, na kuiweka wakfu dunia, kwa Moyo Mtakatifu sana wa Bikira Maria. Papa aliitazama sana sanamu hiyo na kusema Asante Mama kwa wale wote walikuja karibu nawe katika Siku Kuu hii na kujiweka chini ya ulinzi, Msaada wa waumini.










All the contents on this site are copyrighted ©.