2013-09-03 09:07:12

Papa na Twitter


Jumatatu , Baba Mtakatifu katika ujumbe kwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter, ulihimiza kuomba amani: Amani duniani kote na ndani ya moyo wa kila mwanadamu.

Ni ombi linaloenda sawia na maadhimisho ya miaka hamsini tangu kuchapishwa kwa waraka wa Amani Duniani – Pacis in Terris wa Baba Mtakatifu Yohane XXIII.











All the contents on this site are copyrighted ©.