2013-08-28 08:35:02

Ujumbe wa Papa katika tweet


Yesu ni Mlango unaoongoza katika wokovu, wenye kutuondoa katika majivuno na kujitenga.

Ni mlango ulio funguliwa wazi kwa watu wote, wenye kututaka kumwachia Yesu aingie katika maisha yetu. Ni mlango unao tuondoa katika ubinafsi na kutofautiana, au kuwatenga wengine nje.
Kila siku pata ujumbe wa Papa Francisko kupitia anwani ya Tweet @Pontifex.

All the contents on this site are copyrighted ©.