2013-08-24 12:05:04

Askofu mkuu Sciacca ateuliwa kuwa ni katibu mkuu mwambata wa Mahakama kuu ya Kanisa Katoliki


Baba Mtakatifu Francisko amemtea Askofu Giuseppe Sciacca kuwa ni Katibu Mkuu Mwambata wa Mahakama kuu ya Kanisa Katoliki. Hadi kuteuliwa kwake, Askofu Sciacca alikuwa ni katibu mkuu wa Serikali ya mji wa Vatican.







All the contents on this site are copyrighted ©.