2013-08-23 12:26:41

Nendeni mkaushuhudie upendo wa Kristo!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kusali ili kumwomba Bwana aweze kuwafundisha jinsi ya kujitoa katika ubinafsi wao. Awafundishe kwenda mitaani ili kutolea ushuhuda wa upendo wa Kristo na Kanisa lake.All the contents on this site are copyrighted ©.