2013-08-19 14:51:50

Msiwe Wakristo wa part-time!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anaonya kwamba, waamini hawawezi kuuishi Ukristo wao kama jambo la mpito! Ikiwa kama Kristo ni kiini cha maisha yao, Yeye yupo katika matendo yote wanayoyafanya katika maisha!







All the contents on this site are copyrighted ©.