2013-08-17 12:02:15

Monsinyo Jean Marie Speich ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Ghana


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Monsinyo Jean Marie Speich kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Ghana pamoja na kumpandisha hadhi ya kuwa ni Askofu mkuu.

Kabla ya uteuzi huu Askofu mkuu mteule Jean Marie Speich alikuwa ni mshauri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimatifa katika Sekretarieti ya Vatican.







All the contents on this site are copyrighted ©.