2013-08-15 12:04:56

Mh. Padre Benoit Goudote ateuliwa kuwa ni msimamizi wa kitume Jimbo Katoliki la Dassa-Zoumè, Benin


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Padre Benoit Gbemavo Goudote wa Jimbo Katoliki Dassa-Zoumè, kuwa ni Msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki la Dassa-Zoumè, nchini Benin.All the contents on this site are copyrighted ©.