2013-08-15 12:13:34

Bikira Maria Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu!


Katika Maadhimisho ya Sherehe ya Bikira Maria kupalizwa mbinguni mwili na roho, Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Bikira Maria Mama wa Mungu kuwaombea wakosefu pamoja na kuwaongoza kwenye njia inayoelekea mbinguni.







All the contents on this site are copyrighted ©.