2013-08-13 14:45:13

Ninyi ni watoto wa Mungu na ni ndugu kati yenu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kiini cha mang'amuzi ya maisha ya Kikristo ni waamini kujisikia kuwa ni watoto wa Mungu na hivyo wao ni ndugu.







All the contents on this site are copyrighted ©.