2013-08-12 15:26:09

Kristo na Kanisa ni sawa na chanda na pete!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, hawawezi kumtenganisha Kristo na Kanisa. Neema ya Sakramenti ya Ubatizo unawakirimia Wakristo furaha ya kumfuasa Kristo ndani ya Kanisa pamoja na Kanisa.All the contents on this site are copyrighted ©.