Binadamu ni dhaifu na maskini, lakini anabeba ndani mwake amana kubwa!
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema
kwamba, binadamu wote ni kama chungu cha udongo, ni dhaifu na maskini, lakini ndani
mwao wanabeba amana kubwa!