2013-08-07 10:32:49

Yesu anaendelea kukutana na waamini kwa njia ya Sakramenti za Kanisa


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, kwa ujio wake kati ya watu, Yesu amewakaribia wote na anaendelea kukutana nao; hata leo hii anakutana na waamini kwa njia ya Sakramenti za Kanisa.







All the contents on this site are copyrighted ©.