2013-08-02 12:22:06

Shuhudieni imani yenu kwa kujadiliana na wote!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, usalama katika imani usiwafanye wabweteke na kujifungia katika undani wao, bali iwe ni changamoto ya kutoka nje ili kuishuhudia na kujadiliana na wote!







All the contents on this site are copyrighted ©.