2013-07-30 11:19:42

Asanteni sana, Rio 2013 imefunika!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anapenda kuwashukuru wote kwa kufanikisha Maadhimisho ya Siku ya 28 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 huko Rio de Janeiro. Anawaaomba waamini na watu wenye mapenzi mema kumkumbuka katika sala na majitoleo yao.

Itakumbukwa kwamba, Maadhimisho ya Siku ya 29 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2016 yatafanyika Jimbo kuu la Cracovia, Poland. Wenyeji wa Maadhimisho haya wanasema, Poland, kutawaka moto hasa wakati huu ambapo Kanisa linaendelea kujiandaa kwa ajili ya kumtangaza kuwa Mtakatifu Mwenyeheri Yohane Paulo wa Pili.







All the contents on this site are copyrighted ©.