2013-07-29 12:05:54

Askofu mkuu Tonyè Bakot wa Jimbo kuu la Yaounde, Cameroon ang'atuka kutoka madarakani


Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi la Askofu mkuu Simon Victor Tonyè Bakot wa Jimbo kuu la Yaounde, Cameroon la kung'atuka kutoka madarakani kadiri ya sheria za Kanisa namba 401, kipengele 2 na badala yake Baba Mtakatifu amemteua Askofu Jean Mbarga wa Jimbo Katoliki la Ebolowa kuwa ni msimamizi wa kitume wa Jimbo kuu la Yaounde, Cameroon.







All the contents on this site are copyrighted ©.