2013-07-23 11:57:53

Vijana kumekucha!


Baba Mtakatifu Francisko mara baada ya kuwasili nchini Brazil tayari kwa Maadhimisho ya Siku ya 28 ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 inayoongozwa na kauli mbiu, "Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa ni wanafunzi", anawaambia vijana kwamba, ule wakati waliokuwa wanausubiri, umewadia, tayari wameenza juma la kujenga na kukuza urafiki wao na Yesu Kristo.







All the contents on this site are copyrighted ©.