2013-07-19 12:59:42

Vijana, niko njiani kutinga timu huko Rio de Janeiro!


Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 yanayoongozwa na kauli mbiu "Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi" yameanza kupamba moto huko Rio de Janeiro, Brazil. Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa vijana anasema kwamba, anatambua kuwa wengi wao wamekwisha tinga timu Brazil na wengine wako njiani wanaendelea kuwasili! Baba Mtakatifu anasema, wataweza kuonana baada ya muda si mrefu kuanzia sasa!







All the contents on this site are copyrighted ©.