2013-07-16 14:38:44

Chuchumilieni utakatifu wa maisha!


Sala, fadhila ya unyenyekevu pamoja na upendo ni mambo muhimu sana katika maisha ya Mkristo: hii ndiyo njia inayompeleka mwamini katika utakatifu wa maisha. Huu ni ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kuwahimiza watoto wake kuchuchumilia utakatifu wa maisha!







All the contents on this site are copyrighted ©.