2013-07-12 07:44:50

Baadhi ya Makleri waliochaguliwa kutoa Katekesi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani 2013


Katekesi ya kina ni kati ya mambo muhimu sana wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani. Katekesi hii itatolewa kwa lugha ya Kiitaliani, Kiingereza, Kifaransa, Kihispania, Kipolandi na Kireno. Pia kuna baadhi ya Maaskofu walioandaliwa kutoa Katekesi hizi kwa lugha maalum, kwa bahati mbaya, Lugha ya Kiswahili, haikupata nafasi katika Maadhimisho ya Mwaka huu, pengine, miaka ijayo si ajabu tukiona Kiswahili kikiibuka! Tuendelee kuwa na matumaini.

Ifuatayo ni orodha ya Makleri waliochaguliwa kutoa Katekesi kwa lugha ya Kiingereza.

Most Rev. Kenneth RICHARDS -Bishop of Saint John's-Basseterre - Antigua & Barbuda

Most Rev. Mark COLERIDGE - Archbishop of Brisbane – Australia

Most Rev. Anthony FISHER - Bishop of Parramatta – Australia

Most Rev. Daniel Eugene HURLEY -Bishop of Darwin – Australia

H.E. Cardinal George PELL - Archbishop of Sydney – Australia

Most Rev. Lawrence Subrato HOWLADER, CSC - Auxiliary Bishop of Chittagong –Bangladesh

Most Rev. Richard William SMITH - Archbishop of Edmonton – Canada

Most Rev. Joel BAYLON - Bishop of Legazpi -The Philippines

Most Rev. John SHERRINGTON - Auxiliary Bishop of Westminster – England

Most Rev. Charles Gabriel PALMER-BUCKLE - Archbishop of Accra –Ghana

Most Rev. Vincent Michael CONCESSAO - Archbishop Emeritus of Delhi – India

Most Rev. Donal McKEOWN - Auxiliary Bishop of Down and Connor – Ireland

Most Rev. Charles J. SCICLUNA - Auxiliary Bishop of Malta – Malta

Most Rev. John Ebebe AYAH -Bishop of Ogoja – Nigeria

Most Rev. Hugh GILBERT -Bishop of Aberdeen – Scotland

H.E. Cardinal Wilfred Fox NAPIER - Archbishop of Durban - South Africa

Most Rev. Samuel AQUILA - Archbishop of Denver - United States of America

Most Rev. Edward J. BURNS -Bishop of Juneau – United States of America

Most Rev. Frank CAGGIANO - Auxiliary Bishop of Brooklyn - United States of America

Most Rev. Charles J. CHAPUT - Archbishop of Philadelphia - United States of America

H.E. Cardinal Timothy M. DOLAN - Archbishop of New York, President of the United States

Conference of Catholic Bishops - United States of America
Most Rev. Gustavo GARCÍA-SILLER, M.Sp.S - Archbishop of San Antonio - United States of America

Most Rev. Jerome LISTECKI - Archbishop of Milwaukee - United States of America

H.E. Cardinal Sean Patrick O'MALLEY, OFM Cap - Archbishop of Boston - United States of America








All the contents on this site are copyrighted ©.