2013-07-11 14:23:27

Askofu mkuu Leo Boccardi ateuliwa kuwa ni Balozi Mpya wa Vatican nchini Iran


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Leo Boccardi kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Iran. Hadi kuteuliwa, Askofu mkuu Boccardi alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Sudan na Eritrea.







All the contents on this site are copyrighted ©.