2013-07-04 13:40:01

Fumbo la Msalaba ni kielelezo cha upendo na urafiki wa Yesu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaambia kwamba, upendo na urafiki wa Yesu si jambo la kufikirika. Katika Fumbo la Msalaba, Yesu ameonesha ukweli wa mambo!







All the contents on this site are copyrighted ©.