2013-07-02 11:16:39

Nje, ya Kristo hakuna Ukristo!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anasema kwamba, haiwezekani kuishi kikamilifu Ukristo nje ya Kristo ambaye ni Mwamba thabiti! Kristo anawaimarisha na kuwamegea furaha na utulivu!







All the contents on this site are copyrighted ©.