2013-06-29 15:04:49

Jifunzeni kujitoa sadaka kwa ajili ya Kristo!


Katika Maadhimisho ya Siku kuu ya Watakatifu Petro na Paulo, miamba wa imani, Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kujifunza kuachia yote kwa ajili ya maisha ya Kristo kwa kuongozwa na mantiki ya zawadi na sadaka. Ukiwa pamoja na Kristo hakuna kinachoweza kupotea!







All the contents on this site are copyrighted ©.