2013-06-28 14:39:03

Yesu amemkomboa mwanadamu kwa njia ya Fumbo la Umwilisho!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Yesu hakuwakomboa kwa maneno matupu! Bali amejinyenyekesha akatwaa hali ya ubinadamu. Ni Neno aliyefanyika Mwili!







All the contents on this site are copyrighted ©.