Orodha ya Maaskofu wakuu watakaopewa Pallio Takatifu wakati wa Maadhimisho ya Siku
kuu ya Watakatifu Petro na Paulo, Miamba ya Imani
Katika Maadhimisho ya Siku kuu ya Watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani, hapo
Jumamosi, tarehe 29 Juni 2013, Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kutoa Pallio Takatifu
kwa Maaskofu wakuu 34, kati yao kuna Maaskofu wakuu 3 kutoka Bara la Afrika. Katika
Ibada hii, Askofu mkuu Francois Xavier Le Van Hong, hataweza kuhudhuria na badala
yake atapewa Pallio takatifu jimboni mwake. Kutoka Barani Afrika Maaskofu wakuu
watakaopewa ni: Askofu mkuu Dieudonnè Nzapainga, kutoka Jimbo kuu la Bangui, Jamhuri
ya Watu wa Afrika ya Kati; Askofu mkuu Claudio Dalla Zuanna, kutoka Jimbo kuu la Beira,
Msumbiji pamoja na Askofu mkuu Joseph Effiong Ekuwem kutoka Jimbo kuu la Calabar,
Nigeria. Ifuatayo ni orodha nzima ya Maaskofu wakuu watakaovishwa Pallio takatifu
na Baba Mtakatifu Francisko, Jumamosi ijayo:1. Patriarch Manuel Jose Macario do Nascimento
Clemente, patriarch of Lisbon, Portugal 2. Archbishop Dieudonne Nzapalainga, C.S.Sp.,
of Bangui, Central African Republic 3. Archbishop Carlo Roberto Maria Redaelli
of Gorizia, Italy 4. Archbishop Claudio Dalla Zuanna, S.C.I., of Beira, Mozambique 5.
Archbishop Prakash Mallavarapu of Visakhapatnam, India 6. Archbishop Antonio Carlos
Altieri, S.D.B., of Passo Fundo, Rio Grande do Sul, Brazil 7. Archbishop Marek
Jedraszewski of Lodz, Poland 8. Archbishop Philip Tartaglia of Glasgow, Scotland,
Great Britain 9. Archbishop Salvatore Joseph Cordileone of San Francisco, California,
USA 10. Archbishop Rolando Joven Tria Tirona, O.C.D., of Caceres, Philippines 11.
Archbishop Rogelio Cabrera Lopez of Monterrey, Nuevo Leon, Mexico 12. Archbishop
Joseph William Tobin, C.Ss.R., of Indianapolis, Indiana, USA 13. Archbishop Carlos
Maria Franzini of Mendoza, Argentina 14. Archbishop Lorenzo Ghizzoni of Ravenna-Cervia,
Italy 15. Archbishop George Antonysamy of Madras and Mylapore, India 16. Archbishop
Anil Joseph Thomas Couto of Delhi, India 17. Archbishop John Wong Soo Kau of Kota
Kinabalu, Malaysia 18. Archbishop Murray Chatlain of Keewatin-Le Pas, Manitoba,
Canada 19. Archbishop Sérgio Eduardo Castriani, C.S.Sp., of Manaus, Amazonas, Brazil 20.
Archbishop Peter Loy Chong of Suva, Fiji Islands 21. Archbishop Alfonso Cortes
Contreras of Leon, Guanajuato, Mexico 22. Archbishop Alexander King Sample of Portland
in Oregon, USA 23. Archbishop Joseph Effiong Ekuwem of Calabar, Nigeria 24.
Archbishop Jesus Juarez Parraga, S.D.B., of Sucre, Bolivia 25. Archbishop Fabio
Martinez Castilla of Tuxtla Gutierrez, Chiapas, Mexico 26. Archbishop Ramon Alfredo
Dus of Resistencia, Argentina 27. Archbishop Mario Aurelio Poli of Buenos Aires,
Argentina 28. Archbishop Gintaras Linas Grusas of Vilnius, Lithuania 29. Archbishop
Michael Owen Jackels of Dubuque, Iowa, USA 30. Archbishop Duro Hranic of Dakovo-Osijek,
Croatia 31. Archbishop Moacir Silva of Ribeirao Preto, Sao Paulo, Brazil 32.
Archbishop Jozef Piotr Kupny of Wroclaw, Poland 33. Archbishop Sergio Alfredo Gualberti
Calandrina of Santa Cruz de la Sierra, Bolivia 34. Archbishop Giuseppe Petrocchi
of L’Aquila, Italy The following archbishop will receive the pallium in his Metropolitan
See: 35. Archbishop Francois Xavier Le Van Hong of Hue, Vietnam.