2013-06-25 15:28:15

Waziri mkuu wa Italia kukutana na Papa Francisko hapo tarehe 4 Julai 2013


Waziri mkuu wa Italia Bwana Enrico Letta anatarajiwa Alhamisi, tarehe 4 Julai 2013 kukutana kwa faragha na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko na baadaye atakutana na kuzungumza pia na Kardinali Tarcisio Bertone, Katibu mkuu wa Vatican. Hayo yamebainishwa na Padre Federico Lombardi, msemaji mkuu wa Vatican.







All the contents on this site are copyrighted ©.