2013-06-24 09:54:02

RSAT yapata viongozi wapya: 2013 hadi mwaka 2015


Shirikisho la Wakuu wa Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume kwa upande wa wanaume nchini Tanzania katika mkutano wake mkuu wa mwaka uliofanyika Jimboni Morogoro, umewachagua wafuatao kuongoza RSAT kwa kipindi cha miaka miwili, yaani kuanzia Juni 2013 hadi Juni 2015.

Waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:
Mwenyekiti ni Padre Shukrani Kasian Mbirigenda, wa Shirika la Wakamiliani.
Mwenyekiti Msaidizi: Padre Reginald Mrosso, Wamissionari wa damu Azizi ya Yesu
Wajumbe: Br. Valeriani Mchome: Mabruda wa Yesu mchungaji mwema, Same
Mjumbe: Br. Venance Kapita, Mabruda wa Upendo, Kigoma
Mjumbe: Padre Wolfgan Pisa, Wakapuchini.

Taarifa hii imetolewa na Mheshimiwa Padre Firmati Tarimo, IC, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake RSAT.







All the contents on this site are copyrighted ©.