2013-06-24 14:27:16

Padre Mario Lèon Dorado ateuliwa kuwa ni Mwenyekiti wa kitume, Sahara Magharibi


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Padre Mario Lèon Dorado, O.M.I kuwa Mwenyekiti wa kitume wa Sahara Magharibi. Kabla ya uteuzi huu, Padre Dorado alikuwa ni msimamizi wa kitume wa Sahara Magharibi.







All the contents on this site are copyrighted ©.