2013-06-24 10:57:11

Je, mko tayari kuishi Ukristo wenu kwa masaa 24?


Katika Maadhimisho ya Mwaka wa Imani, Baba Mtakatifu Francisko anawauliza watumiaji wa mitandao ya kijamii, ikiwa kama wako tayari kujitoa bila ya kujibakiza kwa masaa ishirini na manne kuishi kama Wakristo, wakitoa ushuhuda wa maneno, matendo na muda wao?







All the contents on this site are copyrighted ©.