2013-06-21 13:34:31

Kristo ndiye anayeliongoza Kanisa lake ili liweze kuzaa matunda ajaa!


Wakati huu ambapo waamini bado wanamshukuru Mwenyezi Mungu kwa moyo wa ujasiri, hekima na busara ulioneshwa na Baba Mtakatifu mstaafu Benedikto wa kumi na sita kwa kung'atuka kutoka madarakani kwa uhuru na utashi kamili na hatimaye, kuchaguliwa kwa Papa Francisko; Yeye mwenyewe anapenda kuwakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Yesu ndiye anayeliongoza Kanisa. Ndiye anayefanikisha utume na shughuli mbali mbali za kichungaji!







All the contents on this site are copyrighted ©.