2013-06-12 14:42:12

Umaskini na mmong'onyoko wa kimaadili ni matokeo ya ukanimungu!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawauliza swali la msingi! Je, ni umaskini na mmong'onyoko wa kimaadili kiasi gani unaojitokeza leo hii kutokana na kumkana Mwenyezi Mungu na badala yake mwanadamu anajiundia miungu wa uwongo!







All the contents on this site are copyrighted ©.