2013-06-10 14:58:40

Afrika inamwombea Mzee Madiba!


Waamini na watu wenye mapenzi mema wanaendelea kusali kwa ajili ya kumwombea Mzee Nelson Mandela na famia yake ambaye inasemekana hali yake inazidi kuwa mbaya tangu alipolazwa Hospitalini, Jumamosi iliyopita. Ni ujumbe uliotolewa na Rasi Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini, siku ya Jumatatu.







All the contents on this site are copyrighted ©.