2013-06-05 13:48:29

Kila mtu anawajibu wa kutunza mazingira


Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, utunzaji bora wa mazingira si jambo ambalo Mwenyezi Mungu alilitamka wakati wa uumbaji tu, bali kila mmoja amedhanishwa na ni sehemu ya kazi ya Mpango wa Uumbaji.







All the contents on this site are copyrighted ©.