2013-06-04 10:44:59

Yesu anawaongoza waamini kujitoa bila ya kujibakiza kwa ajili ya jirani!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii al maarufu kama twitter anawaambia kwamba, Yesu Kristo anawaongoza kutoka katika ubinafsi wao, ili kujitoa bila ya kujibakiza kwa ajili ya huduma kwa jirani.







All the contents on this site are copyrighted ©.