2013-06-04 07:50:38

Japan kusaidia kugharimia mchakato wa maendeleo Ukanda wa Sahel


Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ametangaza kwamba, Serikali yake itagharimia kiasi cha Euro billioni 770 kwa ajili ya kugharimia shughuli za amani na maendeleo Ukanda wa Sahel. Waziri Mkuu Abe ameyasema hayo wakati wa kufunga mkutano wa kimataifa wa maendeleo Barani Afrika uliokuwa unafanyika nchini Japan kwa kuwashirikisha viongozi kadhaa kutoka nchi za Umoja wa Afrika na Mashirika ya Umoja wa Mataifa.







All the contents on this site are copyrighted ©.