2013-05-31 14:29:24

Mwenyezi Mungu anajitaabisha kumtafuta mwanadamu!


Baba MtakatifuFrancisko katika ujumbe wake mwishoni mwa Mwezi Mei, 2013 anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, historia nzima ya wokovu inaonesha jinsi ambavyo Mwenyezi Mungu anajitaabisha kumtafuta mwanadamu; anamkirimia upendo na kumpokea kwa moyo mkunjufu!







All the contents on this site are copyrighted ©.