2013-05-28 10:35:19

Kanisa linawategemea vijana!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawaambia vijana kwamba, Kanisa linategemea makubwa kutoka kwao, lakini zaidi ukarimu wao. Anawataka kamwe wasikate tamaa bali waendelee kuwa na tumaini la mambo makuu zaidi.







All the contents on this site are copyrighted ©.