2013-05-27 08:55:57

Kujitumbukiza katika ubinafsi ni kuharibu mpango wa upendo wa Mungu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, kila mara wanapojiachia ili kutawaliwa na ubinafsi watambue kwamba, wanapinga uwepo wa Mungu katika maisha yao; wanaharibu mpango wa upendo wa Mungu miongoni mwao!







All the contents on this site are copyrighted ©.