2013-05-23 10:45:16

Je, wewe ni mjumbe wa upatanisho na upendo?


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anawauliza, kama kweli wanajibidisha kupeleka ujumbe wa upatanisho na upendo unaobubujika kutoka katika Injili huko wanakoishi na kufanya kazi?







All the contents on this site are copyrighted ©.