2013-05-22 11:06:39

Injili ni msamaha, amani na upendo unaobubujika kutoka kwa Mwenyezi Mungu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuhakikisha kwamba, wanaiishi Injili na kupambana kufa na kupona na ubinafsi. Injili ni msamaha, amani; na ni upendo unaobubujika kutoka kwa Mwenyezi Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.