2013-05-21 14:21:25

Papa anaomboleza kwa wale waliokumbwa na tufani Oklahoma


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kuungana pamoja naye kwa ajili ya kuwaombea watu waliofikwa na maafa huko Oklahoma, nchini Marekani, baada ya kukumbwa na tufani. Kwa namna ya pekee anaungana na wale ambao wamewapoteza watoto wao katika tufani hii.







All the contents on this site are copyrighted ©.