2013-05-20 11:01:02

Roho Mtakatifu ni kielelezo cha utulivu, amani na ujasiri!


Katika Maadhimisho ya Sherehe ya Pentekoste, Baba Mtakatifu Francisko amewaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Roho Mtakatifu anageuza na kuwaletea waamini mabadiliko ya ndani katika maisha yao; Roho Mtakatifu anajenga na kuimarisha utulivu na umoja; anawakirimia ujasiri na furaha ya utume!







All the contents on this site are copyrighted ©.