2013-05-18 12:24:39

Askofu mkuu Michael W Banach, ateuliwa kuwa Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya Solomon


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Michael W. Banach kuwa Balozi mpya wa Vatican kwenye Visiwa vya Solomon. Anaendelea pia kuwa ni Balozi wa Vatican nchini Papua New Guinea.







All the contents on this site are copyrighted ©.