2013-05-17 15:24:06

Je, unampatia Mwenyezi Mungu kipaumbele cha kwanza katika maisha yako?


Baba Mtakatifu Francisko anawauliza watumiaji wa mitandao ya kijamii ikiwa kama maisha yao yamesheheni uwepo wa Mwenyezi Mungu. Je, ni mambo yepi wanayoyapatia kipaumbele cha kwanza kila siku?







All the contents on this site are copyrighted ©.