2013-05-15 15:30:18

Kardinali O'Brien aenda Jangwani kusali!


Kardinali Keith Patrick O'Brien, Askofu mkuu mstaafu wa St. Andrews na Edinburgh nchini Scotland kutokana na sababu zilizopelekea kushindwa kwake kuhudhuria Conclave na kwa makubaliano na Vatican, ameamua kwa miezi kadhaa kutoka nchini Scotland na kwenda "Jangwani" kwa ajili ya mafungo ya maisha ya kiroho, sala na toba. Maamuzi na mipango mingine kwa ajili ya Kardinali O'Brien itapangwa kwa makubaliano na Vatican.







All the contents on this site are copyrighted ©.